Kwa maelezo yako ni ngumu ata kwa mchungaji kuguswa kwa unachotaka kufanya.
Jiandae ukiwa vizuri urudi tena,
Eleza unahitaji mkopo kiasi gani na utarudisha kwa mpango UPI.
Wazamini wako pindi biashara ikiyumba.
Hatua ulizopitia kutafuta mkopo kabla, je ndio unaanza ama tayari unabiashara unahitaji kuikuza.
Mkopeshaji anapaswa kujiridhisha kama una uelewa wa kutosha na kile unachohitaji kufanya, ili aweze Kutoa fedha zake kwako.
Mjasiriamali mdogo hahitaji mtaji wazo lake ni mtaji tosha