Natafuta mentor wa kunifundisha UTT

Please kama unawiwa urafiki wa faida wa kufundishana na kuelekezana kuhusu uwekezaji kwene mifuko na bondi kama UTT jitokeze.

Ingependeza uwe unajua viytu kuliko nijuavyo mm. mi ndo naanza kujitafuta kwene huu uwekezaji
Hata mimi ningependa kujua hili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ