Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 75
Wadau, natafuta Mercedes Benz saloon ya kununua, ambayo haijatembea Bongo. Napendelea light colours prefarrably silver, iwe left hand. Any model.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejaribu kucheki sikuona left hand.Mbona ziko nyingi tu kwenye ma show room?
Au unataka zile za wizi za kutoka sauz afrika na uingereza?
Thanks Bujibuji, acha nimtafute.KAKUYU
Phone +255222772890
Mobile cell+255754411148
fax fax+255222772890.
ALIKUWA NA HAYO MAGARI UNAYOHITAJI KUTOKA UJERUMANI LEFT HAND.