Natafuta Mercedes Benz

Ambassador

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2008
Posts
933
Reaction score
75
Wadau, natafuta Mercedes Benz saloon ya kununua, ambayo haijatembea Bongo. Napendelea light colours prefarrably silver, iwe left hand. Any model.
 
Mbona ziko nyingi tu kwenye ma show room?
Au unataka zile za wizi za kutoka sauz afrika na uingereza?
 
KAKUYU
Phone +255222772890
Mobile cell+255754411148
fax fax+255222772890.
ALIKUWA NA HAYO MAGARI UNAYOHITAJI KUTOKA UJERUMANI LEFT HAND.
 
KAKUYU
Phone +255222772890
Mobile cell+255754411148
fax fax+255222772890.
ALIKUWA NA HAYO MAGARI UNAYOHITAJI KUTOKA UJERUMANI LEFT HAND.
Thanks Bujibuji, acha nimtafute.
 
Nashukuru mkuu, nimevisit site yao iko interesting.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…