Natafuta meza na viti (desk)

Natafuta meza na viti (desk)

Hauko serious mkuu! Mafundi bongo mbona wapo wengi tu? Kama unataka uimara kanunue mwenyewe bomba ya inchi mbili na unene wa millimeter mbili na mbao za mpodo au mninga. Leta fundi akutengenezee hapo shuleni. Kama unataka ushauri zaidi njoo pm naweza kusimamia show!
 
Kwa umri wangu sina haja ya kuleta utani kwa watu nisiowajua hapa JF.

Naomba unisaidie kunipa quotation ya meza na kiti chake kama unamjua mtaalamu wa hiyo kazi.
Tatizo la mafundi wengi wa nchi hii wamejaa kalenda na utapeli yaani hadithi nyingi kuliko maelezo ndio maana napenda imported "pay take and go"
 
Kalenda inakuwepo sababu fundi anatoa makadirio ya muda mfupi kuendana na shinikizo la mteja.
Kazi hizi za ufundi ni mchakato, kuna kuaanda, kuunda, na kumalizia , mzunguko wote huo mpaka kitu kitokee kwa ukamilifu unaotakiwa lazima kutokee kupishana na muda.

Vinginevyo hakuna fundi asiye pende kumalizana vizuri na mteja wake.
 
Back
Top Bottom