Natafuta mfadhili au Wafadhili wa kuwekeza kwenye Organization yangu

Natafuta mfadhili au Wafadhili wa kuwekeza kwenye Organization yangu

Joined
Feb 19, 2016
Posts
15
Reaction score
8
Habari wana jamvi!!
Mimi ni kijana Mtanzania Halisi Mwanzilishi Community Based Organization (CBO) iitwayo lifelong learning community based organization yenye ofisi iliyo sajiliwa mkoa wa Dodoma mjini,, Taasisi yetu imejikita katika kuhamasisha masuala mbalimbali ya kielimu katika jamii kama utoaji wa elimu ya ujasiriamali nk na kutoa huduma ya daycare center, pre-primary,primary na secondary school,,, kwa sasa tunahamasisha jamii pia tumenaza na day care/ nursery school, naomba msaada wa kupata mashirika/ wafadhili ya hii project ili nipige hatua zaidi.. Masaada wedu jamani hata nikipata volunteer nitashukuru sanaa..... 0712867264
 
Back
Top Bottom