Natafuta mfadhili/mwajiri/partner tutakaeweza kuanzisha channel ya youtube/podcast sehemu yoyote tanzania

Natafuta mfadhili/mwajiri/partner tutakaeweza kuanzisha channel ya youtube/podcast sehemu yoyote tanzania

nergomafioso

Senior Member
Joined
Apr 3, 2024
Posts
109
Reaction score
284
Mimi ni kijana umri 26
Napatikana katika moja ya wilaya mkoani Dodoma,
Natafuta mtu mwenye interest ya kuanzisha channel ya YouTube in any niche niko na uelewa na Algorithm ya YouTube inavyoenda nimekosa vifaa kutokana na hali ya maisha ninakotokea,
Kama unamtaji na ulitamani siku moja kufahamu namna hii mitandao pesa inavyotengenezwa nipo tayari kwa makubaliano maana kuna vigezo mpaka utimize ndio pesa itaonekana,
Au kama ni videographer una vifaa kwa ajili ya production itakuwa poa zaidi ni kukaa chini na kupanga wapi pa kuanzia.

Nakaribisha wadau pm kama mpo interested

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka +5 na nilimiliki channel yangu apo kabla ila niliiuza kutokana na matatizo yangu binafsi na ukosefu wa vifaa sahihi vya uendeshaji
 
Back
Top Bottom