Natafuta mfadhili wa kunichapia kitabu changu

Natafuta mfadhili wa kunichapia kitabu changu

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
744
Reaction score
1,621
Habari wakuu,
Nina hadithi nzuri nimeandika ambayo 70% imebase kwenye kisa cha kweli katika maisha Yangu,

Kwa yeyote atapenda kunisaidia ili kitabu kitoke tafadhali, tuwasiliane hapa nitakufuata PM
Na nitakupa episodes chache
Ili ujiridhishe na kazi hiyo...

Natanguliza shukrani
 
Jaribu kuweka hata vionjo hapa jukwaani wadau waseme neno
 
Basi tunga hadithi nyingine sisi manguli wa fasihi tutajua umahiri wako na kukupa connection.
 
Wasiliana na Kudo uone yeye huwa anauzaje riwaya zake
 
Basi tunga hadithi nyingine sisi manguli wa fasihi tutajua umahiri wako na kukupa connection.
Manguli wa Fasihi michosho ukitaka kujua namaanisha Nini fuatilia tamthiliya ya aliyeonja pepo ya Forouk Topan.Siku hizi unaandika tu mbele kwa mbele.
 
Wasiliana na Kudo uone yeye huwa anauzaje riwaya zake
Nipatie contact Kuna Jamaa yangu anaandika Riwaya Sana lakini hali yake ni dhoofu kiuchumi,anawafanyia watu kazi.
 
Back
Top Bottom