Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Naweza kufanya hivyo Ila sasa Watu watanogewa na wanaweza kulazimisha tuweke yote hapaJaribu kuweka hata vionjo hapa jukwaani wadau waseme neno
Hapo ndo unaweza kupata na mtu wakukusaidiaNaweza kufanya hivyo Ila sasa Watu watanogewa na wanaweza kulazimisha tuweke yote hapa
Manguli wa Fasihi michosho ukitaka kujua namaanisha Nini fuatilia tamthiliya ya aliyeonja pepo ya Forouk Topan.Siku hizi unaandika tu mbele kwa mbele.Basi tunga hadithi nyingine sisi manguli wa fasihi tutajua umahiri wako na kukupa connection.
Nipatie contact Kuna Jamaa yangu anaandika Riwaya Sana lakini hali yake ni dhoofu kiuchumi,anawafanyia watu kazi.Wasiliana na Kudo uone yeye huwa anauzaje riwaya zake
Nampataje huyu jamaaWasiliana na Kudo uone yeye huwa anauzaje riwaya zake