Natafuta mfadhili wa kunisomesha

Mwanzije

Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
25
Reaction score
3
Habari zenu ndugu zangu wa jukwaa hili. Ombi langu ni kwamba natafuta mtu ambae anaweza kunidhamin ili niweze kusoma postgraduate ya education kwan nimegraduate procurement ana supplies lkn matumain ya kupata ajira yanazidi kupotea hivyo nataka nisome postgraduate ya education ili nipate hata ajira.
 
ww upo sahihi ila humu jf sioni anayetambua jitihada zako hata kidogo bora uende sehemu nyingne.
 
pia ww ni mhuni mwez wa 4 ulisema unatafuta mchumba wa kiume.Mwez wa 5 post natafuta limama ww ni msaniii.
 
Suala la kupata udhamini katika nyanja ya elimu ni changamoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…