Natafuta Mfadhili wa kunisomesha

TheAfrican

New Member
Joined
Feb 20, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Natafuta mfashili wa kunisomesha Clearing n Forwading pamoja na Graphics Design, Macmillan College.
 
Ushauri: Mwenyezimungu akujaalie wepesi kupata mfadhili lakini wakati waendelea kusikizia, unaweza kuanza kujifunza online masomo yk. Especially Graphic Design ni pana sana na yataka kujipinda haswa. Anza sasa na utaona matunda yk. Aidha, Ukiimudu Graphic Design itakuwa rahisi kujiajiri mwenyewe kabla ya kuajiriwa. Me ni Graphic Design ambaye nafanya kazi zangu nyumbani tu. Ni mimi na computer yangu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…