Natafuta mfadhili.

Natafuta mfadhili.

Brightman Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2009
Posts
1,224
Reaction score
234
wakuu natafuta mfadhili wa kugharimia masomo ya shahada ya pili(Masters). Mdogo wangu kamaliza shahada ya kwanza nami sina uwezo wa kugharimia hayo masomo ya ngazi hiyo. Ahsanteni!
 
wakuu natafuta mfadhili wa kugharimia masomo ya shahada ya pili(Masters). Mdogo wangu kamaliza shahada ya kwanza nami sina uwezo wa kugharimia hayo masomo ya ngazi hiyo. Ahsanteni!

ndiyo maana siku zote nasema tanzania haina wasomi bali ina wasaka ajira na wasomi wa makaratasi tu.

sasa we una shahada ya kwanza,je hiyo ya kwanza kwa nini husiitumie kutafuta fedha ili upate ya pili,pia inaonesha we unatafuta mashindano na nduguyo tu.

fanya kazi bwana,unafikiri ukisoma masters ndo nini? maisha ya leo ni tofauti na unavyofikiri
 
well said mdau, out of shere curiosity, how old is your sibbling?!! kamaliza degree ya nini?,kuna vitu vya kuangalia: fani aliyosomea ina competition kwa kiasi gani, level ya ufaulu wake...na je amepata japo kufanya kazi au mafunzo au any form of apprentiship.? ana mahitaji maalumu?
 
siyo lazima asome master kwa mda huu mkuu vinginevyo utajikuta anasoma katika mazingira magumu kama alivyosoma undergraduate na secondary. maoni yangu
 
waheshimiwa asante kwa majibu yenu. Huyu mdogo wangu ameajiriwa, ni mwalimu. Jamani mshahara alionao ni vigumu kusoma masters. Anapokea laki 3 baada ya makato, sasa sielewi kama kiwango hicho kinaweza msaidia.
 
Sometimes masters tunasoma kwa leisure tu!, atafute pesa kama anataka kusoma, kama hawez aishie kutamani tu! au mfanye kikao cha ukoo muone ni jinsi gani mtamsaidia!
 
Sometimes masters tunasoma kwa leisure tu!, atafute pesa kama anataka kusoma, kama hawez aishie kutamani tu! au mfanye kikao cha ukoo muone ni jinsi gani mtamsaidia!

Mkuu HARVESTER maana ya kutafuta mfadhili ni kwamba jambo hili hata kikao cha ukoo kimekaa kimeshindwa kumudu gharama za masters (MEd).
 
Last edited by a moderator:
Jamani naendelea kusubiri ushauri wenu zaidi. Ahsante!
 
Huu uzi unadhihirisha ukweli wa wasomi wetu vilaza. Hivi kweli dunia ya leo ya utandawazi bado muhitimu wa shahada ya kwanza anatafutiwa udhamini na kaka yake. Kwanza inavyoonekana mwenye shida hiyo ni wewe mwenyewe lakini unaingia jamvini na gia ya mdogo wako, kwa taaarifa yako tu ni kwamba hata ukipewa ufadhili ukimaliza hiyo Masters yako bado utakuja hapa na kuomba kutafutiwa ajira.
 
waheshimiwa asante kwa majibu yenu. Huyu mdogo wangu ameajiriwa, ni mwalimu. Jamani mshahara alionao ni vigumu kusoma masters. Anapokea laki 3 baada ya makato, sasa sielewi kama kiwango hicho kinaweza msaidia.
Ni mwajiriwa wa serikali au sekta binafsi?
 
Ila walimu wana akili ndogo sana..sasa kwa nin asichukue mkopo bank ili ajisomeshe tu?
 
Ila walimu wana akili ndogo sana..sasa kwa nin asichukue mkopo bank ili ajisomeshe tu?

mwenye akili ndogo anaonekana.. Unafikiri unafika benk na kusema nataka mkopo then unapewa?
Sifa za kupewa mkopo na benk ni,
1. Securities
2. Je kitu unachoenda kufanya ni productv kias gan?
3. Wadhamini, na wao wawe na qualities flan flan.
So mkuu Perry futa kauli.walimu wana akili men
..
 
Last edited by a moderator:
Kweli kuna walimu hawana akili, kuna kipindi sirikali yetu tukufu na sikivu mtu akifeli form 4 au 6 eti ndio anafanyiwa mpango 'aende ualimu', wengine watakataa lakini wengine wanajua kilichojiri. Sasa hivi elimu ni dili na serikali imetupa jukumu lake la custodianship ya ubora wa elimu na imeacha elimu iwe kama kuku wa kienyeji akitoka akiingia atajijua mwenyewe! Majuzi nimeona uzi hapa kuhusu degree za mezani, hapanshaka kuna vyuo vinafanya hivo kugawa vyeti huku vimefumba macho kwa minajili ya kuganga njaa. Sasa matokeo ya haya yote ndio matunda yake yanaoneka ikiwemo maudhui ya uzi kama huu/
 
Hebu ni PM faster mawasiliano yako na mdogo wako, nipo tayari kumsaidia. Ni wa kike au wa kiume?.
wakuu natafuta mfadhili wa kugharimia masomo ya shahada ya pili(Masters). Mdogo wangu kamaliza shahada ya kwanza nami sina uwezo wa kugharimia hayo masomo ya ngazi hiyo. Ahsanteni!
 
wenzako undergraduate hawana mfadhili kumbe huyo ana mpaka kazi?mm hata ningekua na mabilioni nisingempa kwa sababu kuna wahitaji zaidi yake
 
Back
Top Bottom