just-imagine
JF-Expert Member
- Aug 18, 2015
- 374
- 449
Mwenye mfano wa business plan naomba anisaidie nijifunze jinsi ya kuandika...msaada tu...kama unayo naomba uni-pm
Mwenye mfano wa business plan naomba anisaidie nijifunze jinsi ya kuandika...msaada tu...kama unayo naomba uni-pm
mkuu ukigoogle utafanikiwa kupata
Kijana acha dharau...sema unayoshingapi...bila pesa huwezi ipataaa
Bwerere! Hakunaga hiyo