K Kisiwa Senior Member Joined Oct 18, 2010 Posts 127 Reaction score 20 Sep 6, 2025 #1 Awe msichana Ujuzi wa kutumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuitangaza biashara Atapewa smartphone Mwezi mmoja kwa ajili ya kujifunza, atapewa nauli na pesa ya kula tu kwa siku. Mwezi unaifuata ndo ataanza kulipwa Biashara ipo Nyasaka
Awe msichana Ujuzi wa kutumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuitangaza biashara Atapewa smartphone Mwezi mmoja kwa ajili ya kujifunza, atapewa nauli na pesa ya kula tu kwa siku. Mwezi unaifuata ndo ataanza kulipwa Biashara ipo Nyasaka
Podcast JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 842 Reaction score 1,032 Sep 7, 2025 #2 Bei gani unalipa nije
K Kisiwa Senior Member Joined Oct 18, 2010 Posts 127 Reaction score 20 Feb 20, 2026 Thread starter #3 Podcast said: nije Click to expand... Kama una uzoefu njoo inbox
Podcast JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 842 Reaction score 1,032 Feb 20, 2026 #4 Kisiwa said: Kama una uzoefu njoo inbox Click to expand... Uzoefu sina