Natafuta mfanyakazi wa saloon ya kike

Natafuta mfanyakazi wa saloon ya kike

Class

Member
Joined
Mar 19, 2023
Posts
29
Reaction score
19
Wanajamvi natumai mko salama.kama nilivyodokeza hapo juu.
Nahitaji mtu wa saloon,awe wa kike au wa kiume,kikubwa awe anajua kazi zote za saloon kama
Kuosha wateja
Kuweka Dawa
Kusuka Misuko Tofauti
Make Up kwa wateja
Kubana styles tofauti.

Saloon ni mpya,naifungua leo,
Saloon ipo MKURANGA BUS TERMINAL.kwa mwenye uhitaji njoo Pm
 
Sasa mkuu mbona unafanya biashara kwa kubahatisha? Inakuaje unafungua kwanza saluni alafu ndio uje kutafta mfanyakazi. Usifanye vitu kwa mazoea
 
Sasa mkuu mbona unafanya biashara kwa kubahatisha? Inakuaje unafungua kwanza saluni alafu ndio uje kutafta mfanyakazi. Usifanye vitu kwa mazoea
Mfanyakazi nilikua nmemuandaa tayari,ila ameachana na mume wake hivyo amerudi kwao
 
Back
Top Bottom