Natafuta mfanyakazi

Wabobezi wa kutoa ushauri wanakuja.

TULIA HAPOHAPO MKUU.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Majukum ya kaz ninyapi? Ungeandika kwanza term ya bid ili huko mshauri ajue unataka kwenda wapi yeye aseti plan ya namna ya kufika
 
Nahitaji mtu mwenye akili na msomi ambaye nataka awe mshauri mkubwa wangu kwa mambo mbali mbali ya maisha yangu
Kama uko tayari ni text dm
Tuongee mambo mengine Niko serious bro’s
Yaani unataka mshauri uwe unamlipa mshahara au pia awe anakusaidia kazi Zako.? Tupo wazee ambao hatujazeeka. Fafanua kabla hatujaja dm.
 
Nahitaji mtu mwenye akili na msomi ambaye nataka awe mshauri mkubwa wangu kwa mambo mbali mbali ya maisha yangu
Kama uko tayari ni text dm
Tuongee mambo mengine Niko serious bro’s

Acha Utapeli mkuu utakuja kusukumiwa Mianzi ya kutosha hadi utiririshe ulanzi!
 
Nahitaji mtu mwenye akili na msomi ambaye nataka awe mshauri mkubwa wangu kwa mambo mbali mbali ya maisha yangu
Kama uko tayari ni text dm
Tuongee mambo mengine Niko serious bro’s
Sema unatafuta MUME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…