Fahad mayai
Member
- Dec 17, 2019
- 27
- 11
Wale wanaohitaji mayai ya kuku wa kisasa. Trey moja Tsh 7500 Goba center. Uwezo wa kusambaza hadi trey 1000 kwa siku tunao.
Karibuni sana
0766966209
0624351108
View attachment 1682789View attachment 1682792View attachment 1682791View attachment 1682790
Natafuta mfugaji mwenye mayai ya kuku wa kisasa aliepo Dar, Mlandizi, Chalinze au Kibaha.
Bei 7000 hadi 7300 ndo nnayo nunulia nnahitaji tray kuanzia 200 na kuendelea, mawasiliano 0625602775 napataikana Dar es Salaam Ilala, Amana.
Nafika hadi shamba kufata mzigo.
Kwamba hujafanikiwa au?Ndugu zangu muweni makini na watu wataokuja kusema wana mayai wengi wao ni wababaifu
Pole kwa uliyokutana nayo, mkuu kwa trei kuanzia 200 ni nyingi kwakweli inahitaji upate mfugaji wa large scale kupata lasivyo utaishia kubabaishwa tu na msimu wenyewe wa mvua huu upatikanaji wa mayai unakuwa mgumu kutokana na hali ya hewa isiyo rafiki kwa kuku kutaga kwa wingi.Ndugu zangu muweni makini na watu wataokuja kusema wana mayai wengi wao ni wababaifu
Ni kweli brother. Mimi pia niliingizwa mkenge nikaweka tangazo hapo juu.Ndugu zangu muweni makini na watu wataokuja kusema wana mayai wengi wao ni wababaifu
Nouma Sana, kumbe ulikuwa dalali😃Ni kweli brother. Mimi pia niliingizwa mkenge nikaweka tangazo hapo juu.
Ilikuwa hv: huyu muuzaji alikuwa akiniletea mayai hapo kabla. Baadaye nikabadili biashara na kwenda upande mwingine. Tulikuwa tukiwasiliana na mwisho tukaenda akanionesha mzigo wa mayai nikapiga na picha nikamuahidi nitampa connection.
Mpak siku nakutumia ujumbe alinihakikishia kuwa anayo mengi ya kutosha na bahati mbaya nilikuwa nimepeleka mzigo huko rufiji hvyo sikuweza kuhakiki. Nimemaliza kuwasiliana na wewe nikampigia simu ndio akanipa majibu ambayo yalifanya nifute na post kabisa kwakuwa niliona nitaingia kwenye kesi.
Natumia nafasi hii kuomba radhi mkuu.
Nop. Ningekuwa dalali nisingeweka namba ya muhusikNouma Sana, kumbe ulikuwa dalali[emoji2]
Umeeleweka mkuu!Hata hvo naomba radhi
Asante kwa kunielewa mkuu. Kuna muda tunakuwa na nia njema ila tunaoshirikiana nao wanaharibu.Umeeleweka mkuu!
Asante kwa kunielewa mkuu. Kuna muda tunakuwa na nia njema ila tunaoshirikiana nao wanaharibu.
Mimi ninatoa mayai trei 100 kwa Siku moja bei 7500Pole kwa uliyokutana nayo, mkuu kwa trei kuanzia 200 ni nyingi kwakweli inahitaji upate mfugaji wa large scale kupata lasivyo utaishia kubabaishwa tu na msimu wenyewe wa mvua huu upatikanaji wa mayai unakuwa mgumu kutokana na hali ya hewa isiyo rafiki kwa kuku kutaga kwa wingi.
Mkuu Fahad mayai nakurecomend hapa. Huyu naye ni mdau unaweza kumchekMimi ninatoa mayai trei 100 kwa Siku moja bei 7500
0767759699
Nmezungumza nae tiyar nashkuruMkuu Fahad mayai nakurecomend hapa. Huyu naye ni mdau unaweza kumchek
[emoji123][emoji123][emoji123]Nmezungumza nae tiyar nashkuru
Hiyo ndio Tabia ya wafugaji wengiNi kweli brother. Mimi pia niliingizwa mkenge nikaweka tangazo hapo juu.