Fahad mayai
Member
- Dec 17, 2019
- 27
- 11
Habari zenu, naitwa Fahad napatikana Ilala Dar es salaam nilikuwa nahitaji mfugaji anaeweza kunsupply mayai ya kisasa tray 300 kila baada ya siku 3, bei isizidi 6200 na usafirishaji wa mayai ni juu yangu mimi.
Malipo ni cash kwa mawasiliano zaidi 0625602775
Malipo ni cash kwa mawasiliano zaidi 0625602775