Fahad mayai Member Joined Dec 17, 2019 Posts 27 Reaction score 11 Mar 18, 2020 #1 Habari zenu, naitwa Fahad napatikana Ilala Dar es salaam nilikuwa nahitaji mfugaji anaeweza kunsupply mayai ya kisasa tray 300 kila baada ya siku 3, bei isizidi 6200 na usafirishaji wa mayai ni juu yangu mimi. Malipo ni cash kwa mawasiliano zaidi 0625602775
Habari zenu, naitwa Fahad napatikana Ilala Dar es salaam nilikuwa nahitaji mfugaji anaeweza kunsupply mayai ya kisasa tray 300 kila baada ya siku 3, bei isizidi 6200 na usafirishaji wa mayai ni juu yangu mimi. Malipo ni cash kwa mawasiliano zaidi 0625602775
abby abdy Member Joined Oct 26, 2018 Posts 42 Reaction score 40 Mar 18, 2020 #2 Braza...vipi safar hii nkawa natafta wafugaji alaf we nkupe apdate tu ukihitaj ...nakuleta unachkua mzigo .. Sent using Jamii Forums mobile app
Braza...vipi safar hii nkawa natafta wafugaji alaf we nkupe apdate tu ukihitaj ...nakuleta unachkua mzigo .. Sent using Jamii Forums mobile app
shirima Mathias JF-Expert Member Joined Feb 9, 2017 Posts 451 Reaction score 1,333 Mar 18, 2020 #3 Mayai 3000 kwa siku utayafanyia nini? Sent using Jamii Forums mobile app
abby abdy Member Joined Oct 26, 2018 Posts 42 Reaction score 40 Mar 18, 2020 #4 Uyu namfaham anauza jumla na mi nlikua mteja wake ...na si trey 3000 ila 300 ...ni kawaida hyo bro watu wanachkua mpaka trey 1000 kwa siku shirima Mathias said: Mayai 3000 kwa siku utayafanyia nini? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Uyu namfaham anauza jumla na mi nlikua mteja wake ...na si trey 3000 ila 300 ...ni kawaida hyo bro watu wanachkua mpaka trey 1000 kwa siku shirima Mathias said: Mayai 3000 kwa siku utayafanyia nini? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
J jaranono JF-Expert Member Joined Jun 24, 2015 Posts 2,023 Reaction score 1,627 Mar 18, 2020 #5 shirima Mathias said: Mayai 3000 kwa siku utayafanyia nini? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Yeye si ndie anayehitaji! wewe una uwezo waku-supply? tumia fursa acha kuchimbachimba
shirima Mathias said: Mayai 3000 kwa siku utayafanyia nini? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Yeye si ndie anayehitaji! wewe una uwezo waku-supply? tumia fursa acha kuchimbachimba
Fideliiiz JF-Expert Member Joined Dec 23, 2016 Posts 632 Reaction score 407 Mar 24, 2020 #6 Usafiri unao wewe Sent using Jamii Forums mobile app
Freyzem JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 10,120 Reaction score 24,667 Jul 2, 2020 #7 shirima Mathias said: Mayai 3000 kwa siku utayafanyia nini? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nakaanga, nikiamua nachemsha! Mengine napikia mtori bwana shirima...!! Yanayobaki ni chipsi mayai kila siku..
shirima Mathias said: Mayai 3000 kwa siku utayafanyia nini? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nakaanga, nikiamua nachemsha! Mengine napikia mtori bwana shirima...!! Yanayobaki ni chipsi mayai kila siku..
Ty_Vigilante JF-Expert Member Joined Jan 19, 2015 Posts 2,890 Reaction score 2,455 Jul 2, 2020 #8 Freyzem said: Nakaanga, nikiamua nachemsha! Mengine napikia mtori bwana shirima...!! Click to expand... Haha haha haha... Hii Dunia
Freyzem said: Nakaanga, nikiamua nachemsha! Mengine napikia mtori bwana shirima...!! Click to expand... Haha haha haha... Hii Dunia