haha,,hv hadi waganga wamo humu eeh
haha,,hv hadi waganga wamo humu eeh
Kama wewe ni mganga unaweza kutatua shida yangu (kuna mtu MZUNGU ananizingua kaniibia pesa) nataka nimfundishe kua waafrika sio wa kuchezea.
Ikiwa wewe unajua una knowledge ya miziziology ebu niPm malipo ni guarantee ili mradi tu huyu mtu apate anachostahili tu kwa sababu ameonesha jeuri isiyovumilika.
Karibu Pm, niko very very serious, kama huna idea na hii kitu pita kimya kimya kila mtu anaamua kuishi atakavyo
mganga appoh from muscat ni pm tumtie adabu
na mimi natafuta mganga wa kubett malipo laki moja kila nikila mkeka, :llama:
muhindi hapana aisee baniani alogeki yule makombora yangu mawili yaligonga mwamba yakanirudia