Mganga ni tigo pesa
Kijana anaangamia kwa kukosa maarifaNa m pesa,airtel money
halo pesa na Z pesaNa m pesa,airtel money
Umeona eeeUtakuwa Mwanaume mchoyo wewe
Mganga mkweli kwenye hilo ni PESA.tafuta pesa uwe nazo nyingi utapumzika kutongozaWakuu,
Nimeshaandaa hela ya mchele kama kilo 25 na kuku (majogoo wekundu) wanne kwa ajili ya kumpa mganga mahiri kwenye hiki kitengo.
Ushuhuda wa wazi ni kwamba:
Tangu Januari mpaka sasa nimepiga tongozo zipatazo 56,
Ila sijawahi kukubaliwa hata 1.
Bila siasa wala kupindisha maneno,
Hapa kuna mkono wa mtu.
Nielekezeni kwa mganga nikamalize tatizo.
Umeona eee
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Yaani mpendwa na asipojirekebisha atakimbiwa mpaka uzeeni