mimi hapa nalipwa kwa pound Sterling basiWakuu,
Nimeshaandaa hela ya mchele kama kilo 25 na kuku (majogoo wekundu) wanne kwa ajili ya kumpa mganga mahiri kwenye hiki kitengo.
Ushuhuda wa wazi ni kwamba:
Tangu Januari mpaka sasa nimepiga tongozo zipatazo 56,
Ila sijawahi kukubaliwa hata 1.
Bila siasa wala kupindisha maneno,
Hapa kuna mkono wa mtu.
Nielekezeni kwa mganga nikamalize tatizo.
Mtafute Mshana JrWakuu,

Haaa haaaaa jmn [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na vimtoko vya kfc na MBMganga ni tigo pesa
Sio Mkono wa Mtu apo kuna Tako la mtuWakuu,
Nimeshaandaa hela ya mchele kama kilo 25 na kuku (majogoo wekundu) wanne kwa ajili ya kumpa mganga mahiri kwenye hiki kitengo.
Bila siasa wala kupindisha maneno,
Hapa kuna mkono wa mtu.
Nielekezeni kwa mganga nikamalize tatizo.
Haaa haaaaa jmn [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na vimtoko vya kfc na MB
Haaa haaa hyo imejificha na mimi nataka kuonekana.Basi ukiwa ya M/City nishtue [emoji5]Karibu KFC kkoo..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu nakutafutaUtakuwa Mwanaume mchoyo wewe
Nimeacha mpenzi[emoji85] [emoji125]Cc mshana jr
Hizi malighafi ni kwa ajili ya kafara kubwa uchawi wa mvuto malighafi yake haifiki robo kiloWakuu,
Nimeshaandaa hela ya mchele kama kilo 25 na kuku (majogoo wekundu) wanne kwa ajili ya kumpa mganga mahiri kwenye hiki kitengo.
Ushuhuda wa wazi ni kwamba:
Tangu Januari mpaka sasa nimepiga tongozo zipatazo 56,
Ila sijawahi kukubaliwa hata 1.
Bila siasa wala kupindisha maneno,
Hapa kuna mkono wa mtu.
Nielekezeni kwa mganga nikamalize tatizo.
Umri na shekeli vikwazo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwanini ukatongoze siuende wanapomwaga kazi usiku mkapatane bei ukakate kiu.