Natafuta mganga mashuhuri

Tatiz lako moja tu,,sio kwamba hela huna au mchafu au unanuka mdomo.. Tatizo lako hujui kutongoza.... Unamfuata mwanamke unaanza kumwambia nakaa masaki,nmesoma UD,nataka nikasome mastars marekan,,,nikimaliza nataka nikafanye kazi UN,baba hapend nitoke bila gari,,siku hizi nikitoka na harria mgongo unauma,,bora nitoke na crown majesta...

Ooh siku hizi sitak kabsa simu tofauti na iPhone 7 nyingine hua zna sumbua sumbua sana
MPE mwanamke nafas ya kukusoma na kujijibu yy mwenyewe kwa maneno machache yenye mantiki

Mwalike sehem tulivu hata kama sio ya gharama mzungumze

Zima simu yako kumunyesha unamjali na mazungumzo yenu ni ya muhimu kuliko simu yako

Usianze kuulizia bwana wake wa zaman na kwa nn mliachana

Mpe nafas ya kukusoma kwa maneno yako. Usiazmishe anywe unachokunywa wewe

Msifie kapendeza na mshukuru kwa kuitikia wito,, akikuuliza umeniitia nini !!! Tabasamu na umwangalie machoni dakika nzima bla kupepesa macho,shusha pumzi ndefu then mwambie kwa utulivu.......
Nmevutiwa na kufurahishwa na haiba yako ya kimalkia,Leo umenifanya nijisikie mfalme kukaa karibu yako,niliitaman sana siku muhimu kama hii tukae tuzungumze... Na nashukuru mungu Leo katukutanisha,,nia na madhumun kukualika hapa ni kuzungumza tu,tule,tunywe tufurah that's all.

Usimtongoze,,,mpe heshima yake,na msikae sana then ingia mfukoni toa hat laki mbili au tatu MPE,,mwambie samahani hii utanunua vocha ili tuwasiliane..

Inuka na nenda nyuma ya kiti chake mwache asimame msogezee kiti apite kwa Uhuru then mtoke mpka kwenye gar mfungulie mlango apnde kwa gar then ww ndio urud kwenye usukani.

Kama huna gari hata tax unaweza kumfanyia yte hayo.. Na ukifika usiache kumshukuru kwa kukubali wito wako na umefurah kua nae kwa muda wote. Kazi utakua umemaliza ndugu na atakuona huna haraka ya ngono..na umempiga bao mbili bila.
 
Laki 3 yote? Hiyo hela nshawala kama 30 hivi. Nawaachia buku 10 ya nauli tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…