jamani kama kuna waganga wa kusafisha nyota ya mapenzi au kumpata unayemtaka basi wanaweza fanya na vice verse, yaani kumfukuza usiyemtaka.
Nimependwa na babu jinga afu haelewi, nioge dawa gani asinione??
Ananifuata kama mkia, ananijaza shombo tu mie(najua moyo hauna macho) ila kuna 'type' zikianza kukufuata jua ushafulia.
Kajaa kila mahali ofisini kwangu, njiani, mitaani hawezi tu kuja nyumbani kwangu.
Bishanga msaada tafadhali
yule wa nungwi hafai tena?
Tawile,ngoja n pandishe Majini yangu ndio nisikilize shida zako ni sauti ya Mganga anayeishi karibu na Mtaani kwetu ni PM kuelekeze anapo patikana.
he he he, yule wa pale jirani kwenu ni feki.
Mie nataka wa Sumbawanga wanaojua kabisa.
afu wee kunitania kwenye mambo siriaz ujue sipendi?
Hebu nipe namba yako nikunyanyulie waya mie.
Unaomba namba ya Gari au ya Bajaj.tiririka unataka namba zipi?
hivi bajaj nayo ina namba?
Wee kwa jina tu najua msukuma, hujauza ng'ombe wewe hadi unawaza namba za bajaj?
Mie nataka namba ya simu bwana, yangu inaishia 727, ukina usisite kupokea.
Unaowakataa wawaanika!
Wanaofanikiwa hutwambii !
Imekaaje hii ?
mfanyie tu maombi atatoweka mwenyewe huyo.....mtafute erick52,level,asprin wanajua sana kuombeajamani kama kuna waganga wa kusafisha nyota ya mapenzi au kumpata unayemtaka basi wanaweza fanya na vice verse, yaani kumfukuza usiyemtaka.
Nimependwa na babu jinga afu haelewi, nioge dawa gani asinione??
Ananifuata kama mkia, ananijaza shombo tu mie(najua moyo hauna macho) ila kuna 'type' zikianza kukufuata jua ushafulia.
Kajaa kila mahali ofisini kwangu, njiani, mitaani hawezi tu kuja nyumbani kwangu.
Bishanga msaada tafadhali
naowataka akyanani nawapaga bure
asa kama sitaki aniache lol
una mganga wako wapi?
Maana siku hizi baadhi ya akina dada wana family wagangas kama vile kampuni kuwa la lawyer
hata naokubali nimewaanika
nina mabwana 2 singo, wamme za watu 3 na kiserengeti 1.
Afu elewa nlowakubali hawajanitatiza ndo maana sijaja kupata ushauri, sijamwagwa, sijanyimwa udora, niwalalamikie nini?
Think Judge Think