Natafuta Mhasibu wa kuniandalia Zero Return

Natafuta Mhasibu wa kuniandalia Zero Return

BrownRange

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2020
Posts
927
Reaction score
1,191
Kampuni haijawahi kufanya kazi. Imefunguliwa mwaka 2019.

0712464478
 
Mkuu ongeza maelezo wengine hatuna salio
 
Mkuu ongeza maelezo wengine hatuna salio
Kampuni ilifunguliwa mwaka 2019, haikuwahi kufanya kazi. Kwa Sasa inataka kuanza kazi, ni kampuni ndogo tu, ya kujikongoja, Natafuta mhasibu wa kufanya zero return, yaani mahesabu ya miaka ya nyuma
 
Mapeli wengi mjini kaka namna ulivopost haina uzito saana ndo maana watu wanakua hawaamini, binafsi kuna mtu nimemtumia atakucall though nakushauri uweke details ambazo zitaaminisha watu hii ni fursa na sio utani

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Sio utani, Ila mi mtafutaji mwenzio, Sina kiasi kikubwa, naunga unga tu
 
Kuna Maswali yafuatayo
2019 mwezi wa Ngapi?
Toka 2019 umewahi fanya return yoyote??
Efilling system ya TRA umejisajili?
Kuna malipo yoyote umewahi fanya ya TRA toka 2019 ya hiyo kampuni?

N.b for more info utanicheki
 
Kuna Maswali yafuatayo
2019 mwezi wa Ngapi?
Toka 2019 umewahi fanya return yoyote??
Efilling system ya TRA umejisajili?
Kuna malipo yoyote umewahi fanya ya TRA toka 2019 ya hiyo kampuni?

N.b for more info utanicheki
Mkuu mi naunga unga, Kama upo tayari kunisaidia nicheki. Namba yangu 0712464478.

Ila kiufupi sijawahi fanya return yeyote. E filling sina uhakika.
Sijawahi fanya malipo yeyote
 
Kuna Maswali yafuatayo
2019 mwezi wa Ngapi?
Toka 2019 umewahi fanya return yoyote??
Efilling system ya TRA umejisajili?
Kuna malipo yoyote umewahi fanya ya TRA toka 2019 ya hiyo kampuni?

N.b for more info utanicheki
Mwaka 2019, mwezi wa tano
 
Back
Top Bottom