Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 587
- 276
Mkuu mimi nipo overqualified.Muhasibu OKW BOBAN SUNZU nafaham huna kazi ndugu yangu, Kuna kazi hapa.
Wahasibu kazi kwenu..Habari ninahitaji mhasibu kwa ajili ya kampuni mpya uwekezaji kwenye madini, awe na uzoefu wa kazi zaidi ya miaka 5.
Majukumu ni kuandaa mishahara, kuandaa report za fedha kila mwezi kwenda mamlaka za serikali, kumanage cash na accounts, kudhibiti matumizi na kuratibu, n.k. Tuma CV kupitia email stationerykinondoni@gmail.com
Kuna ajira nyingi sana, mtu wa kawaida anaweza fanya na akapata uzoefu zaidi humo humo.. Elimu imekuja kuwa kigezo cha kupunguza watahiniwa.Hivi hayo majukumu mbona hata mimi nisiesoma nayaweza au mpaka usomee?
Kama ni kweli, hongera sana mwekezaji mzawa.Habari ninahitaji mhasibu kwa ajili ya kampuni mpya uwekezaji kwenye madini, awe na uzoefu wa kazi zaidi ya miaka 5.
Majukumu ni kuandaa mishahara, kuandaa report za fedha kila mwezi kwenda mamlaka za serikali, kumanage cash na accounts, kudhibiti matumizi na kuratibu, n.k. Tuma CV kupitia email stationerykinondoni@gmail.com
Ingawa kazi ya uhasibu naweza kuimudu lakini kigezo cha uzoefu ndio sina.Natafuta Ajira Kuna ajira huku Mkuu.
Mtafute umsaidie tu, hata mawazo. Si JF ni kama ndugu?Mkuu mimi nipo overqualified.
Kwa sasa ni Principal Accountant mwenye ACPA-PP na experience ya 11 years. Huyo hana mshahara wa kunilipa
Acha ujuajiMhh apo kwa hayo majukumu sio ya mhasibu ni human resource officer ambapo duties zake ni kama ifuatavyo ni
- Recruiting: Writing job descriptions, managing the application process, and selecting candidates
- Onboarding: Helping new employees get started and familiar with their benefits
- Training: Planning and delivering training programs, including new employee inductions
- Performance management: Advising on performance and providing resources to support employees
- Compensation: Ensuring employees are paid correctly and advising on pay negotiations
- Benefits: Advising on benefits and ensuring compliance with benefit usage
- Policies: Developing and implementing HR policies and procedures, such as those on working conditions, performance management, and disciplinary procedures
- Compliance: Keeping up to date with employment laws and ensuring the organization is compliant
- Employee relations: Handling complaints and disciplinary procedures, and resolving disagreements between employees
- Employee support: Arranging employee support services like welfare and counseling
- Culture: Promoting equality and diversity, and conducting employee surveys
- Administrative tasks: Maintaining employee records, processing payroll, and attending to court or tribunals
Ni kudanga pekee ndo hakuhitaji shule wala kusoma.Hivi hayo majukumu mbona hata mimi nisiesoma nayaweza au mpaka usomee?