Natafuta mhasibu

Basi umeamua umfundishe mwenye kazi 😂
 
Narudia, siku hizi tunatafuta watu wanaoweza kufanya kazi, si vyeti. Katika Sekta binafsi, kuna tofauti ndogo kati ya Mhasibu na HR.
 
SteshenariKinondoni@gmail dot Kom 😎

Bongo miyeyusho sana walai.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…