Nyamsusa JB
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 567
- 1,564
Habari.
Natafuta Fulltime Mhudumu wa nyumbani wa kumhudumia Baba Mzee.
Mzee anahitaji kusaidiwa huduma zote kwani ni mhanga wa Stroke.
Sifa za Mhudumu.
- Awe ni mzoefu wa kuhudumia wazee au watu wasiojimudu kujihudumia
- Awe ni mtu mwenye Upendo na uvumilivu.
- Mhudumu wa Kike atapewa kipaombele
- Awe Mcha Mungu akiwa mkrisio itapendeza zaidi ili iwe rahisi kuchangamana na Familia ambayo ni ya Kikristo.
- Awe tayari kuhamia KAHAMA SHINYANGA na awe tayari kuishi kwenye Familia yetu .
MALIPO
Kwa anaetafuta Kazi ya namna hii au anamjua anayetafuta anicheck kwa whatsup kwa Majadiliano zaidi. +255623682872

- Mshahara Mzuri kwa Mwezi
- Huduma ya Afya (BIMA)
- Malazi na Chakula Bure
- Ongezeko la Mshara kila mwaka kama utafanya vizuri.
- Tunaweza funga Mkataba wa Muda
- Utaishi nasi kama mwanafamilia kamili bila ubaguzi.