Wanaweza wakafanikiwa mkuu mbona Zanzibar wameweza kudhibiti banaaaAcheni kujidanganya, mifuko ya plastic itaadimika kwa mda mdgo sana kupisha huu upepo, bt itarudi kwa kasi ya kimondo, marufuku ya hii mifuko ilianzia mwaka 2004 kwa ambao hamujui.
Sasa mteja anatakiwa atember na kikapu chake tuu hamna namnaZile soft rambo zilikuwa zinauzwa elfu 1 na kukikuwa na pcs 100 so kila Pc ni Tshs 10, ukienda kununua hata matunda ya 500 muuzaji haoni hasara kukupa mfuko wa Tsh 10, sasa hii inayouzwa kila PC 300 hata mteja akinunua vitu vya 3000 bado ni hasara kutoa mfuko wa 300
Kila PC ina mifuko mingapi30,000/ kwa piece 100 hiyo inabeba mpaka kg 4
Doo inahitaji seriously monitoring, kibongo bongo waziri anasema hili, kesho analiacha anadili na lingineWanaweza wakafanikiwa mkuu mbona Zanzibar wameweza kudhibiti banaaa
Avatar yko inaisumbua nafsi kurudia kadi yake ya chaputa.Wanaweza wakafanikiwa mkuu mbona Zanzibar wameweza kudhibiti banaaa
Pole mkuuAvatar yko inaisumbua nafsi kurudia kadi yake ya chaputa.
Wapi naweza kupata mifuko ya karatasi mbadala wa hii ya plastic iliopigwa marufuku? Natafuta mifuko ya kutumia kwa wateja wangu.
Hamna mtu aliechukua hii fursa? Mwenye nayo tuwasiliane
Wapi naweza kupata mifuko ya karatasi mbadala wa hii ya plastic iliopigwa marufuku? Natafuta mifuko ya kutumia kwa wateja wangu.
Hamna mtu aliechukua hii fursa? Mwenye nayo tuwasiliane