Natafuta migahawa mizuri ya chakula Arusha

Natafuta migahawa mizuri ya chakula Arusha

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,113
Reaction score
65,124
Wasalaam ndugu zangu.
Samahani kwa wale ndugu zangu wanaoishi Arusha naomba wanipe mwongozo ya sehemu yenge mgahawa mzuri wa chakula.

Nataka kujua wanatoa vyakula gani na wanafunga saa ngapi.

Pia naomba nipate msaada kama kuna sehemu huwa wanapiga live band usiku mtakuwa mnisaidia sana.
Na kama mtu anaijua tovuti ya sehemu hizo naomba anisaidie kuiweka hapa.

Natanguliza shukrani zangu za dhati,
Mchana mwema!
 
Back
Top Bottom