MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Nenda cafe laazizi iko hapo round about ya stend karibu na florida
Varieties of food.ni chaguo lako tu ipo kila kitu hapo kasoro pocky
Kale Naaz hutajutia
Naamini utapata sehemu nzuri tu, humu huwa hakishindikani kitu
mkuu nenda njiro complex pale utapata kila aina ya vyakula na pia live band ipo
Pale mahali, ugali samaki wa ukweeecute b hebu pita hapa muelekeze huyu...pale uliponielekeza Mimi.....
Hebu open your pm kidogo.....! Nataka tutete jambo...mpendwaPale mahali, ugali samaki wa ukweee
Mbona sijafunga.Hebu open your pm kidogo.....! Nataka tutete jambo...mpendwa