Natafuta mikeka ya ukindu 100:upana futi4 na urefu8,au sm120 kwa sm240.

ntakisigae

Senior Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
187
Reaction score
66
Ndugu wanaJF,
Nahitaji mikeka ya idadi hiyo na vipimo kama ilivyo kwenye kichwa cha habari.
Bajeti yangu ni 3500/= kwa mkeka,hivyo kwa mikeka 100 ni 350000/=.
Napatikana Dar es Salaam.
Kwa mawasiliano:0657011122(simu na whatsApp)
Karibuni tufanye biashara!
 
Bila shaka unatumia kufanya Ceiling.
Ongeza dau boss. Yani na vipimo vyote mtu aambulie 35000???
Unajua ukindu unauzwa sh. Ngap???
 
Ukimpata unitag mkuu maana duh hyo bei nlinunulia 2008
 
Wapi kwenye shughuli ya kutumia mikeka yote hiyo?
Au mnataka kusoma Albadiri?
Majamvi hutaki kiongozi?
 
Kwahyo bei utasubili sana labda kama ukindu anapata bure bei tu ya ukindu inazidi ya bei unayotaka kununua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…