E E52 Member Joined Oct 31, 2010 Posts 81 Reaction score 14 Apr 27, 2014 #1 Wadau mambo vp ......wapi ninaweza kupata milango ya kichina ya nyumba kwa hapa dar....? Na inauzwa shs ngap ?....main door ni shs ngapi ? Na ya vyumbani ni shs ngap ? Shukrani wakuu
Wadau mambo vp ......wapi ninaweza kupata milango ya kichina ya nyumba kwa hapa dar....? Na inauzwa shs ngap ?....main door ni shs ngapi ? Na ya vyumbani ni shs ngap ? Shukrani wakuu
N nyali Senior Member Joined Feb 12, 2014 Posts 183 Reaction score 33 Apr 27, 2014 #2 we mama tafuta maduka ya kuuza vifaa vya ujenzi