Parachichi
JF-Expert Member
- Jul 22, 2008
- 510
- 102
Naomba kudandia hapa.
Mimi natafuta Inventa, nimeambiwa zinaweza kugenerate umeme bila kutumia mafuta na hazina KELELE
Mwenye taarifa please
Naomba kudandia hapa.
Mimi natafuta Inventa, nimeambiwa zinaweza kugenerate umeme bila kutumia mafuta na hazina KELELE
Mwenye taarifa please
Thanks kwa kueleweshana vya kutosha,please tufahamishane vzr hiyo inverter inaunganishwa na nini ili kufua umeme huo kama ni battery ni battery zipi.na tofauti na battery yaweza unganishwa na nini ili kufua umeme wa majumbani
Inverter haifui umeme! Inabadili mkondo umeme toka direct kwenda alternating....toka DC kuwa AC.....
Sasa ili kutumia inverter inabidi uwe na source ya umeme (mfano ni windmills kwa wind au solar panel kwa solar) pamoja na kihifadhi huo umeme (zatumika betri).....
So it completely useless kujadili inverter kama huna umeme wa wa ku-invert!!!!
asante kwa ufahamisho wako.Mi nahitaji battery kavu(dry cell) N100/N70,vipi naweza kupata wapi kwa bei nafuu?
Ndugu, unahitaji generator yenye silent canopy ya Kilowatt ngapi?
Pia unataka iwe inawaka automatic na kujizima?
Je unaitaji air condition inayotumia solar pia?
AK 47,
Vp hiyo ya kwake ina capacity gani? Nahitaji kwa ajili ya kuwasha kila kitu nyumbani ikiwezekana pamoja na pasi nimechoka kuvaa jeans ofisini
Mkuu Newattitude nakutumia namba muda si mrefu