Natafuta mitindo ya shati la kitenge

uzolelanga

Member
Joined
Sep 16, 2020
Posts
79
Reaction score
172
Nawasalimu kwa jina la JMT, wakuu poleni kwa yaliotukia kuhusu mwaka mpya wa serikali naamini mama ameyasikia na watayafanyia kazi.

Wakuu kwa heshima na taadhima naomba mnisaidie kupata mitindo mizuri ya shati la kitenge maana ninataka kushona hii kitu maana nimetokea kuvutiwa nayo.

Thanks in advance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…