miradibubu
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 312
- 85
Kwa heshima ninaomba kupewa maelekezo juu ya bei ya gari ya mzigo tajwa hapo juu. Ningeomba kuelezwa pia bei yake ni kiasi gani na wapi ninaweza kupa gari hilo jipya! Nitafurahi kama linaweza patikana Dar es salaam au Mwanza
Pia ningependa kupata ushauri mwingine wa kitaalamu juu ya mambo ya kuzingatia ktk kununua gari husika ikiwa ni pamoja na aina ya injini nzuri na mengineyo ya kiufundi ambayo ninapaswa kuyajua.
Ninatanguliza shukrani sani!
Center ipo tan 3 number b bado ipo hari nzuri sana imefungiwa ndani zaid 0657145555
Canter tani tano...?????? Sijawahi ona..!!!!
mitsubish canter inaanzia tani 1.5, tani 2, tani2.5, tani 3 na tani 3.5, hakuna canter tani 4 au tani 5, fusso ndio zinaanzia tani 4 hadi 6.
used ya japan kwenye show room tani 1.5 bila miln 25 hujapata gari, tani 2 na tani 2.5 bila miln 35-30 hujapata gari, tani 3 na tani 3.5 bila miln 40-35 hujapata gari .
used aliyotumia mbongo bei inaweza pungua kwa miln5-miln10 ni maelewanao yenu.
Nenda Diamond Motors Pugu road zipo nyingi tu mpya unachonga body unayotaka mwenyewe.
Center ipo tan 3 number b bado ipo hari nzuri sana imefungiwa ndani zaid 0657145555
Ahsante mkuu ngoja nione kwanza mchakato wa hizo mpya nikiona vipi nitakutafuta mkuu!