Natafuta miwani ya kublock mwanga wa computer, tv na smartphone

Natafuta miwani ya kublock mwanga wa computer, tv na smartphone

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Wakuu wapi nitapata hii miwani kwa Mwanza au Geita na gharama zinakuaje na pia je ipo original na fake kama bidhaa nyingine au yote iko okay.
 
Back
Top Bottom