Natafuta mjane

hiyo email address mbona ina jina la 'kiume'?!
 
nashindwa kuwaelewa baadhi ya wanajamii,hv mmejiunga jamii ili mkashifu watu kwa hoja zao au tusaidiane mawazo na ushauri.?nadhani tuwe waungwana kujali hisia za mtu si kashfa na kebehi.haina maana.tupeane ushauli wa maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…