habari
nina ka-assignment kadogo na ninahitaji msaada wa mtu anayejiamini kuwa anaweza kunielekeza sehemu au tukamalizia hii kazi within a week kwa kutumia access (au VB/ MS-sql) ila kwa kuwa ni kazi ndogo tu na requirements chache kama mtu ana master kiundani access please PM me as soon as possible, na uwe serious.