Natafuta Mke! (22-26years)

Logo

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
588
Reaction score
48
Jaman wandugu dunia imebadilika sana, tumeumizwa vya kutosha, mwisho wa siku nimechoka kabisaaaa, msichana aliyetayari kuolewa aniPM mengine yote tutaongea kwa faragha mimi nayeye. Nina uwezo wa kumtunza.
Duh, kuumizwa vibaya! Ila kama unahisi utaniumiza usinisumbue!
 
Leo nitasubiria hapa mpaka kieleweke!
 
Hahahahah!! hujasema itikadi yako! kama ni gamba itakuwa ngumu kwa dada wa rafiki yangu kumshauri!!
 

Mke hatafutwi kanisani mie nimepata msikitini
 
Maneno mengi sipendi nauhitaji wa kupata mke
 
ngoja nkupm natafuta rafiki jaman, wa kike, vigezo: umri kati ya 22-28, mwanafunzi au mfanyakazi, na anayependa utani! aliye interested ani PM!
Vipi ulipata?
 
kwa hiyo baada ya Misorgenes kukuPM umeridhika naye, je una uhakika hata kuumiza vibaya huyo?!

Huyo ni dume na yeye alikuwa anatafuta jike ndo nilimuuliza alishapata?
 
mie mwenyewe nasubiria hadi kieleweke, bora tusubiriane.
 
tehee tehee!nenda kwenye web ya baraza kuna wamemaliza shule sasa ruksa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…