Kama bandiko langu lilivyo hapo juu nipo serious natafuta mke na awe tayari kupima HIV.
Elimu awe level yeyote.
Mwenye sifa hizo anipm ili nimpe contact.
utamjuaje kama kweli kaokoka?jee akiwa na matendo mema yanayofuata maandiko ya biblia ila hasali katika makanisa ya kisasa wala hajitangazi kuwa kaokoka utamkubali?