bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,646
Licha ya kuwepo kwa kasumba au imani kuwa huwezi kupata mke katika mitandao ya kijamii,mimi napingana nalo sababu waliomo humu ndo haohao tunaokutana nao katika mazingira yetu ya kawaida hivyo naomba kuwasilisha Ombi langu kama ifuatavyo:
Natafuta mke kwa dhati kabisa ambaye yuko tayari kuolewa kwa dhati toka moyoni mwake na awe na sifa zifuatazo:
1.Awe tayari kwa hiari yake kuishi na mume
2.Awe na mchanganyiko wa asili take(girls from Pemba,Mombasa etc mostly preferred)
3.Age 20--25 years old
Awe muislam
4.Awe na mvuto na umbo la like as long mwanamke ni pambo la Nyumba
5.Akiwa na kazi itapendeza but sio kigezo muhimu.
6.Awe tayari kuanza kuyajenga maisha nami sababu sikuandaliwa maisha.
7.Awe tayari kuishi na kuipenda familia yangu sababu mm ni muafrika na nina Extended family
8.Asiwe mrefu zaidi ya futi 5.5 wala mfupi chini ya 5.
9.Elimu walau kuanzia FORM IV na kuendelea.
10.Asiwe muigizajj au asipende kuigiza maisha Bali awe ktk uhalisia wake.
NB: naamini kuwa sifa ya ukamilifu ni yake Mola tu hivyo hata km kuna mapungufu katika sifa hizo basi aliyetayari ani PM kwa kile tutakachoweza kufikia muafaka basi tutafikia kama kweli atakuwa na nia thabiti...
Karibuni Pm na wala hakutakuwa na majibu ya karaha wala kukwaza na ya huko Pm yataishia huko huko.
Allahu Ya Allam.