Albert Alinanuswe
Senior Member
- Oct 2, 2017
- 196
- 274
Mungu akutimizie hitaji la moyo wako brother.Wakuu Kichwa kinajieleza. Nina Miaka 36
1. Awe Mkristo (Sio Msabato)
2. Umri miaka 25-30
3. Ikiwa ana Mtoto asizidi mmoja
4. Awe mnene asiwe mwembamba
5. Kabila lolote.
Mwenye hizo sifa ani PM
Amen Mungu akubariki kwa hekima hii kuuMungu akutimizie hitaji la moyo wako brother.
Asante mkuu, unadhani CTC unawapataje? Sio rahisi kama udhaniavyo.Nenda CTC utawapata
haya nimekusikiaKwa nini nitanie mkuu? Mimi nipo serious sina utani na mtu kama unahusika na sifa hizo njoo inbox tu.
Mkuu wee muache tu lisemwalo lipo tu kama alipo _,,,,,,,,,We jamaa Kabla hujafa hujaumbika...
Mungu akubariki....uishi kwa afya milele
Aisee bro, ningekushauri kitu kimoja. Nenda kwenye vituo vya ushauri au hizi CTC Center onana na wale wahusika unawaeleza kuwa mimi nina hali hii ila ninahitaji kupata mwenzangu wa ndoa. Wale huwa wanakutanisha watu wenye uhitaji wa namna hiyo. Kuna ndugu yangu alikuwa anapata huduma ya ARV's kwenye kituo kimoja hivi, alimweleza yule nurse pale kituoni hata haikuchukua muda alimkutanisha na dada mmoja na tayari wameshafunga ndoa. Siku aliyoenda alikuta kuna wadada kadhaa walikuwa wameacha picha zao na contacts kwa yule mhudumu..... Mungu akutangulie!Wakuu Kichwa kinajieleza. Nina Miaka 36
1. Awe Mkristo (Sio Msabato)
2. Umri miaka 25-30
3. Ikiwa ana Mtoto asizidi mmoja
4. Awe mnene asiwe mwembamba
5. Kabila lolote.
Mwenye hizo sifa ani PM
Jambo linalofanya vita dhidi ya UKIMWI kuwa vigumu ni UNYANYAPAA na watu wengi kuamini kuwa virusi (HIV) vipo kwa ajili ya watu fulani tu (na kamwe si wao) na kwamba anayevipata anapaswa kutazamwa kama si mtu wa sayari hii.Unatafuta mke au unatafuta wa kuuguzana naye? Si useme tu na wewe unao sasa nataka wa kukupikia na kukufulia na kukufunga nepieee
Usijali Mkuu kwa jinsi tunavyowafamu watakuinbox waliomo Jf jaribu wote uchumi umekaba.Wakuu Kichwa kinajieleza. Nina Miaka 36
1. Awe Mkristo (Sio Msabato)
2. Umri miaka 25-30
3. Ikiwa ana Mtoto asizidi mmoja
4. Awe mnene asiwe mwembamba
5. Kabila lolote.
Mwenye hizo sifa ani PM
Mkuu, asante kwa ushauri, kuna kitu nimejifunza humu.Nenda CTC utawapata
Nenda kituo cha Ushauri nasaha omba orodha ya Wateja waliokuja kupima chagua Majina ya Kike na umri wao walioathirika uwapigie utawapata wakutoshaWakuu Kichwa kinajieleza. Nina Miaka 36
1. Awe Mkristo (Sio Msabato)
2. Umri miaka 25-30
3. Ikiwa ana Mtoto asizidi mmoja
4. Awe mnene asiwe mwembamba
5. Kabila lolote.
Mwenye hizo sifa ani PM