Natafuta mke au mchumba

Natafuta mke au mchumba

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
1,012
Reaction score
2,317
Tafadhali naomba nijielezee kwanza:

Jina langu naitwa mosses, dini yangu mkristo, mwili wangu wa kawaida wa kimazoezi na nina six pack, urefu wangu kawaida, rangi yangu maji ya kunde, uvaaji wangu smart, sivuti sigara wala sinywi pombe, sina mtoto wala sijawai kuowa, ninaishi dar es salaam, ninafanya kazi kwenye kampuni moja hivi, kipato changu cha kawaida, mimi ni mchangamfu lakini mda mwingi ni mpole siyo muongeaji sana,


Vitu ninavyo penda:

Kufanya kazi, kufanya mazoezi, kusafiri na utalii, kupika, kutazama sinema, kusikiliza music, n. K

Tafadhali yoyote yule anakaribidhwa PM 💍, nitumie ujumbe inbox 📩❤️
 
Back
Top Bottom