Mpwitompwito
Member
- May 14, 2015
- 14
- 1
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 47,najitokeza hapa kutafuta mke ambae atakuwa ametosheka na NGONO na ambae haitaji tena WATOTO,yule Mwanamke ambae ameguswa na mwenye nia ya dhati,naomba PM au Tuwasiliane kwa email adres ifuatayo mpwitom@gmail.com KARIBU SANA
Huyo au hao uliozaa nao watoto mpaka ukatosheka kiasi kwamba hutaki tena watoto wala ngono wana shida gani? Ni ngumu sana kupata lea wanao tu.
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 47,najitokeza hapa kutafuta mke ambae atakuwa ametosheka na NGONO na ambae haitaji tena WATOTO,yule Mwanamke ambae ameguswa na mwenye nia ya dhati,naomba PM au Tuwasiliane kwa email adres ifuatayo mpwitom@gmail.com KARIBU SANA
Kwa swala la watoto ila kwa ngono labda ana kisukari
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 47,najitokeza hapa kutafuta mke ambae atakuwa ametosheka na NGONO na ambae haitaji tena WATOTO,yule Mwanamke ambae ameguswa na mwenye nia ya dhati,naomba PM au Tuwasiliane kwa email adres ifuatayo mpwitom@gmail.com KARIBU SANA
Mkuu hayupo kama huyo unayemtafuta, ulete mrejesho ukipata maana hujasema upande wako una watoto wangapi na imekuwajeMimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 47,najitokeza hapa kutafuta mke ambae atakuwa ametosheka na NGONO na ambae haitaji tena WATOTO,yule Mwanamke ambae ameguswa na mwenye nia ya dhati,naomba PM au Tuwasiliane kwa email adres ifuatayo mpwitom@gmail.com KARIBU SANA
ina maana utakua haumpi mambo???
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 47,najitokeza hapa kutafuta mke ambae atakuwa ametosheka na NGONO na ambae haitaji tena WATOTO,yule Mwanamke ambae ameguswa na mwenye nia ya dhati,naomba PM au Tuwasiliane kwa email adres ifuatayo mpwitom@gmail.com KARIBU SANA
Changamkia hiyo fursa dada angu!
Mkuu hayupo kama huyo unayemtafuta, ulete mrejesho ukipata maana hujasema upande wako una watoto wangapi na imekuwaje
πππππHuyu jamaa atakuwa na rundo la watoto anatafuta wa kuwalea anaogopa akipata kabinti kataongeza familia.