Natafuta mke awe HIV+

Natafuta mke awe HIV+

nase91

New Member
Joined
Jan 5, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 ninaishi na virusi vya ukimwi natafuta msichana mwenye hali kama yangu awe mke wangu dini awe mkiristo,umri usizidi 25.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye kisukari mbona wao siwaoni kutafuta wenza wao? Hebu na mimi nijaribu zari hapa

Mwanamke akili mbili
Flat screen
Basmati
Njoo nakutafuta tuyaanzishe.😂😂


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom