nase91 New Member Joined Jan 5, 2015 Posts 1 Reaction score 0 Apr 2, 2019 #1 Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 ninaishi na virusi vya ukimwi natafuta msichana mwenye hali kama yangu awe mke wangu dini awe mkiristo,umri usizidi 25. Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 ninaishi na virusi vya ukimwi natafuta msichana mwenye hali kama yangu awe mke wangu dini awe mkiristo,umri usizidi 25. Sent using Jamii Forums mobile app
S St Lunatics JF-Expert Member Joined Aug 29, 2015 Posts 6,644 Reaction score 11,174 Apr 2, 2019 #2 Wenye kisukari mbona wao siwaoni kutafuta wenza wao? Hebu na mimi nijaribu zari hapa Mwanamke akili mbili Flat screen Basmati Njoo nakutafuta tuyaanzishe.ππ Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Wenye kisukari mbona wao siwaoni kutafuta wenza wao? Hebu na mimi nijaribu zari hapa Mwanamke akili mbili Flat screen Basmati Njoo nakutafuta tuyaanzishe.ππ Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ