mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 2,780
- 3,733
Hello Wanabodi mimi ni Kijana nipo tu nafanya ujasiriamali mdogomdogo kiasi sikosi hela ya kulipa Pango na Kula
Napenda kutafuta Mke awe Mwalimu wa Daraja lolote lile asizidi miaka 25, asiwe mweusi, wala mnene sana, Mkristo itakuwa vizuri hata akiwa Dini nyingine sawa ila akubali kuolewa na asilete Suala la udini
Mimi nina 30, mkristo, Mbangaizaji na Mjasiriamali ambae kwa baadae nitarudi shule ndio maana nataka Mwalimu akiwa kanda ya kati/ziwa itapendeza sana
Wasalaam!!