Mmezidi kuwaonea walimu mkomeee nyie wabangaizaji..Hello Wanabodi mimi ni Kijana nipo tu nafanya ujasiriamali mdogomdogo kiasi sikosi hela ya kulipa Pango na Kula
Napenda kutafuta Mke awe Mwalimu wa Daraja lolote lile asizidi miaka 25, asiwe mweusi, wala mnene sana, Mkristo itakuwa vizuri hata akiwa Dini nyingine sawa ila akubali kuolewa na asilete Suala la udini
Mimi nina 30, mkristo, Mbangaizaji na Mjasiriamali ambae kwa baadae nitarudi shule ndio maana nataka Mwalimu akiwa kanda ya kati/ziwa itapendeza sana
Wasalaam!!
Ni wa sweetMmezidi kuwaonea walimu mkomeee nyie wabangaizaji..
Kwann mwalimu?????Napenda Magauni ya Vitenge afu haonewi ni kupendwa sana tu
Nikifa MkeWangu Asiolewe njoo muone mwingine huku🤣🤣🤣🤣 soon shati la kitenge litamuhusuNapenda Magauni ya Vitenge afu haonewi ni kupendwa sana tu
😄😄😄😄"Mjasiliamali na mbangaizaji"
Nimekuelewa zaidi ulichomaanisha
Ni wenye macho tu wachache watoana!
Huyu hatalikwepaNikifa MkeWangu Asiolewe njoo muone mwingine huku🤣🤣🤣🤣 soon shati la kitenge litamuhusu
Hakuna ubaya Jombii sema kuna ukakasi chagua lugha moja hapo kaka kabla ya wabobevu hawajafika.Kuna ubaya kuwa Mbangaizaji na Mjasiriamali
SifaHakuna ubaya Jombii sema kuna ukakasi chagua l
Hakuna ubaya Jombii sema kuna ukakasi chagua lugha moja hapo kaka kabla ya wabobevu hawajafika.
hahahaha, mwanangu unataka mwalimu ili awe collateral? Hahahaja wameamka siku hizi hawataki wabangaizaji wanataka wanaume walio stable, take it easy hatuwezi kuwa serious kwenye kila thread... kwanini mzee usiseme kwanzia atleast 28s -30s mlingane huoni utasumbuka kulea utoto kidogo au maturity kwako sio kesi???
Mwanangu kaza sana, walimu wanataka mwanaume mwenye sifa kama zako, ila jikaze mzee usije uka waangusha watoto za watu.
ugha moja hapo kaka kabla ya wabobevu hawajafika.
hahahaha, mwanangu unataka mwalimu ili awe collateral? Hahahaja wameamka siku hizi hawataki wabangaizaji wanataka wanaume walio stable, take it easy hatuwezi kuwa serious kwenye kila thread... kwanini mzee usiseme kwanzia atleast 28s -30s mlingane huoni utasumbuka kulea utoto kidogo au maturity kwako sio kesi???
Mwanangu kaza sana, walimu wanataka mwanaume mwenye sifa kama zako, ila jikaze mzee usije uka waangusha watoto za watu.
Wameunga mkono Juhudi Chama kama kimeshakufaNenda NETO mkuu wamejaa
Kichwa chako kina nin mpaka akivumilieAwe analala ndani na Familia, na ataweza kunivumilia hiki kichwa
Ushauri wako nimeupokea afu Mwanangu unaonekana mtu wa Mfumo sana, huna Mwalimu unaefahamiana nae hapoHakuna ubaya Jombii sema kuna ukakasi chagua lugha moja hapo kaka kabla ya wabobevu hawajafika.
hahahaha, mwanangu unataka mwalimu ili awe collateral? Hahahaja wameamka siku hizi hawataki wabangaizaji wanataka wanaume walio stable, take it easy hatuwezi kuwa serious kwenye kila thread... kwanini mzee usiseme kwanzia atleast 28s -30s mlingane huoni utasumbuka kulea utoto kidogo au maturity kwako sio kesi???
Mwanangu kaza sana, walimu wanataka mwanaume mwenye sifa kama zako, ila jikaze mzee usije uka waangusha watoto za watu.
Asilimia kubwa wavumilivu kama unasoma kwanguvu hii ndio Aa Aaa aaaaaa ina mkia mfupi hadi wanaelewa naamini atanielekeza hadi kichwa kotatulia tu mimi ni msumbufu sanaKichwa chako kina nin mpaka akivumilie
Hivi unafikiri walimu wote ni wavumilivu???🤣😅