Baraka DSM
Member
- Sep 12, 2017
- 68
- 76
Why not mkuu? sina nia yakubishana kwa hili twende kwny point ya mke tuMkuu inawezekana kweli kibongo bongo mtuu mwenye PHD, akawa ana age range Kati ya 20-28...?
Au unaongelea PHD ipi...?
Nyie mko wengi sana tunawajua, watu wakukatisha tamaaHuuuuuh huuuuuh this is Machakosi and Murang'a.
Can't you be serious even once in your life!!?
Any way , keep traying devil's workshop you will be awarded a Mercedez Beanz .
thnxKila la heri mkuu
Hapana,kahitaji aliye ajiriwa tayari
Anaweza badili misimamo mtokee tuu anaweza asiulize kama weye ni murembo atanasa huyajui ya delila au ya Hawa na AdamHapana,kahitaji aliye ajiriwa tayari
Hapana nitakuwa nimeenda kinyume na tangazoAnaweza badili misimamo mtokee tuu anaweza asiulize kama weye ni murembo atanasa huyajui ya delila au ya Hawa na Adam
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana mkuu!Mkuu inawezekana kweli kibongo bongo mtuu mwenye PHD, akawa ana age range Kati ya 20-28...?
Au unaongelea PHD ipi...?
Shauri yakoWapi kasema ana phd?
Wewe tuma tu maombi mkuu, mta-compete kwa sifa za ziada kama vile msambwanda though hajaweka bayanaKwa hiyo sisi wa darasa la 7A tusithubutu.